Psalms 33:18-19

18 aLakini macho ya Bwana yako kwa wale wamchao,
kwa wale tumaini lao liko katika upendo wake usio na kikomo,
19 bili awaokoe na mauti,
na kuwahifadhi wakati wa njaa.
Copyright information for SwhNEN